Sitalala Sitalala Hata wakinifunga Sitakuwa nikilalala Sitalala sitalala Na wale wako nje Hawakuwa wakilala Hawalali hawalali Sitakuwa nikilala Hawalali hawalali Hatulali hatulali ©Keguro Macharia Photography: Andrew Njoroge Share this:TwitterEmailPrintLike this:Like Loading... Comments are closed.